Isack from Tanzania
August 12 at 8:24 am
Ewe yesu mwana wa MUNGU ulie keti kuume kwa baba,naleta maombi yangu juu ya familia yangu ya CHARLES M.,wakiwemo Leah,Vaileth,Neema,Vincent,Charles,Fedelika,Jyaden,Ryan na mimi Isack ,nakuomba yesu utusamehe makosa yetu vile sisi ni wakosefu machoni kwako usitazame dhambi zetu bali huruma yako uishushe juu ya familia hii.
Tuondolee mikosi,Sadaka zilizowekwa juu yetu,madhabahu ya familia yetu,umasikini,njaa,roho ya kukosa kazi kwa Kaka na dada (Wasaidie wapate kazi,na sisi tulio kazini tujalie maisha marefu kazini).
Wasaidie walio olewa wawe na ndoa nzuri inayokupendeza ww na wale ambao bado wapate waume na wake bora na wenye hofu ya mungu ,yaongoze mapito yetu kila tutembeapo na kila tushikacho kitakaswe na kama kina mikosi iteketee kwa moto wako wa milele,TUNAOMBA AYO KWA NJIA YA KRISTU BWANA WETU.
AMINA
Responses
No responses yet.