Faraja from Tanzania
May 19 at 8:26 pm
Mungu baba Wa mbinguni,asante kwa ajili ya Upendo wako katika maisha Yetu.Asante kwa ajili ya Taifa moja moja Dunia maana unayapenda Matifa yote.Kipekee tunaomba kwa ajili ya Taiga la Israel,lilinde lipigania katika changamoto zote wanazopitia.Tunasimamia neno la We Bwana utete nao wanao teta nami,upigane nao wanaopigana nami.Amen
Responses
No responses yet.